SHEREHE ZA MIAKA 75 YA TAG NA MAADHIMISHO YA MIAKA 5 YA GLOBAL HARVEST
Chuo cha Global Harvest Kilichopo katika Jengo la Makao Makuu ya TAG Ubungo, Dar es Salaam, Leo Tar 11 June 2014 chasherehekea sherehe Mbili (TWO IN ONE)
- Maadhimisho ya Miaka 75 ya TAG
- Maadhimisho ya Miaka 5 tangu chuo hicho kilipoanzishwa hapa Tanzania
Mgeni Rasmi wa sherehe hizo alikuwa Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God Rev. Dr Barnabas Weston Mtokambali
|
Keki ya Miaka 75 ya TAG na Miaka 5 ya Global Harvest Tanzania |
|
Wanafunzi wa Global Harvest Wakiimba wimbo maalumu wa Kumtukuza Mungu ktk Sherehe ya Miaka 75 ya TAG na Miaka 5 ya kuwepo kwa Chuo Hicho |
|
Keki ya Miaka 75 ya TAG na Miaka 5 ya Global Harvest |
|
Askofu Mkuu Rev Dr Barnabas Mtokambali |
Askofu Mkuu Rev B Mtokambali akihutubia ktk sherehe hizo amesema TAG imekuwa ikifanya jitihada za juu ktk Kuboresha vyuo vya biblia, ambavyo vililikuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi wachache kama 150 hadi kuwezesha kuweza kuchukua wanafunzi 700 mfano wa chuo cha biblia cha Mbeya.
Amesema mpango endelevu wa Chuo cha Biblia cha Global Harvest ni kuwa kitakuwa Bible Seminary kwa miaka ijayo kitakachojengwa kwa hadhi ya kimataifa, Kitakuwa ni chuo kitakacho toa shahada za Masters na PhD. na vyuo vingine vitakuwa vikitoa shahada nyingine
Kulingana na jitihada zilizopo Chuo cha Global Harvest Kitatakiwa kiboreshwe na kijengwe chuo cha Kisasa na Cha kimataifa hapa Dar es Salaam, kwa sababu ya kuwa ni center nzuri inayofikiwa kiurahisi na wageni wa nchi nyingine.
Sherehe hizo ziliambatana na shamra shamra nyingi ikiwa ni pamoja na Nyimbo, maigizo, Keki, Risala, Hotuba, Chakula
|
Global Harvest wakiimba nyimbo za Jubilee |
|
Global Harvest wakiimba nyimbo za Jubilee |
|
Global Harvest wakiimba nyimbo za Jubilee |
|
Chuo Cha Global Harvest wakifundisha kwa njia ya Maigizo |

No comments: