Chuo GLOBAL HARVEST watoa Msaada
Katika Sherehe za kusherehekea Miaka 75 ya Tanzania Assemblies of God (TAG) kwa Chuo Cha Biblia cha Global Harvest Kilichopo Ubungo Dar es Salaam. Waalimu na wanachuo hiki wakiongozwa na Mkuu wa Chuo Rev Ezekiel Mwakajwanga walitembelea Hospitali ya Palestina iliyopo katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam Tarehe 10 June 2014.
Pia katika kusherehekea Miaka 75 tangu kuanza kwa TAG wanachuo hao walifanya Ushuhudiaji na Kugawa Tracts ktk Stendi ya Mabasi yaendayo mkoani ambayo imejaa vijana wanaoishi ktk mazingira magumu, wavuta bangi na madawa ya Kulevya.
Wanachuo wa Global Harvest wakiwafanyia Maombi wagonjwa ktk Hospitali ya Parestina
Pia katika kusherehekea Miaka 75 tangu kuanza kwa TAG wanachuo hao walifanya Ushuhudiaji na Kugawa Tracts ktk Stendi ya Mabasi yaendayo mkoani ambayo imejaa vijana wanaoishi ktk mazingira magumu, wavuta bangi na madawa ya Kulevya.
Chuo cha Global Harvest Tanzania wakiwaombea wagonjwa |
Chuo cha Global Harvest Tanzania walipotembelea wagonjwa Hospitali ya Palestina Sinza |

Reviewed by Unknown
on
6:05 PM
Rating:
No comments: