MISINGI 16 YA IMANI LA KANISA LA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD

MISINGI 16 YA IMANI LA KANISA LA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD MISINGI 16 YA IMANI LA KANISA LA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD Reviewed by Professor Shab on 9:52 PM Rating: 5

36 comments:

  1. WEBSITE inasumbua, najaribu kutafuta misingi 16 ya kanisa la TAG lakini link inagoma

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mtumishi hiyo misingi sasa naona ipo vizuri kwenye web.
      Miaka 10 ya mavuno, Tanzania kwa YESU

      Delete
    2. BE BLESSED MAN OF GOD
      ITS NOW AWESOME

      Delete
  2. mtumishi nina tafuta misingi 16 ya imani kwa lugha ya kiingereza.
    link mliyotupatia hapo juu inasumbua.

    ReplyDelete
  3. Naombeni mwenye katiba ya kanisa letu la tag atusaidie,mungu awabariki

    ReplyDelete
  4. Naombeni mwenye katiba ya kanisa letu la tag atusaidie,mungu awabariki

    ReplyDelete
  5. Watu wana request vitu na hawajibiwi....kuna shida gani?

    ReplyDelete
  6. Naomba namba ya kiongozi au msemaji was TAG tafadhali

    ReplyDelete
  7. May I have our constitution, 0685255225

    ReplyDelete
  8. Bwana Yesu asifiwe? Nina swali kuhusu utoaji wa fungu la 10, je ni sawa kumpa fungu la 10 mchungaji wa kanisa lingine ni TAG lakini sio wa kanisa ulipo ushirika wangu?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapana hii sio sawa Fungu la 10 unatoa mahali unapohuduniwa Kiroho na Sio nje ya Hapo

      Delete
    2. Fungu la kumi limezungimziwa wapi kwenye agano jipya? Vipi kuhusu biblia inavyosema Mungu anapendezwa na mtu anayetoa kwa moyo wa kupenda? Sio kwa sheria wala kwa huzuni?

      Delete
    3. Huwezi pata jibu la maani, zaka au fungu la 10 ni mystery ya kanisa kwenye Agano Jipya.

      Delete
  9. Nmebarikiwa sanaaa,,, nakumbuka niliwahi kuelezea kwenye jubily ya miaka 10 ya mavuno

    ReplyDelete
  10. mtumishi asante lakini mbona milango haipo hapo

    ReplyDelete
  11. Bwana Yesu asifiwe.
    Jamani naomba nisaidie katiba ya kanisa letu la TAG NITUMIE IN BOX 0688 453150

    ReplyDelete
  12. Au naomba mnitumie kwenye E-mail; barakafelix88@gmail.com

    ReplyDelete
  13. Bwana Yesu asifiwe.
    Jamani naomba nisaidie katiba ya kanisa letu la TAG NITUMIE IN BOX 0688 453150

    ReplyDelete
  14. Jamani hizi link zilizohusiana na hii tovuti inakuwaje?

    ReplyDelete
  15. Sorry! Hizi link zisizo husiana na tovuti hii inakuwaje?

    ReplyDelete
  16. naomba katiba ya TAG

    ReplyDelete
  17. Bwana Yesu asifiwe naomba katiba ya T.A.G 0622599033

    ReplyDelete
  18. nataka kuwa mshirika

    ReplyDelete
  19. Kwenye website hakuna katiba ya TAG

    ReplyDelete
  20. Tuwekeni na katiba ya kanisa letu la TAG

    ReplyDelete
  21. Naomba katiba ya tag kwenye namba 0713310388

    ReplyDelete
  22. Naiomba inbox au Whatsapp 0782166735

    ReplyDelete
  23. Naomba kwenye namba yangu 0782166735

    ReplyDelete
  24. Naomba katiba ya TAG kwa namba 0762215108

    ReplyDelete
  25. Bwana Yesu asifiwe ,naomba unitumie katiba ya kanisa letu la TAG kwenye namba0753638653

    ReplyDelete

ads
Powered by Blogger.