Mchungaji Huruma Nkone -TAG Victory Christian Center Tabernacle Aonya Uvaaji Mavazi yasiyo ya heshima Kanisani

Mch Dr Huruma Nkone
Akizungumza ktk Ibada ya jana tarehe 15 June 2014, Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la VCCT Dr Huruma Nkone aliagiza Mama mchungaji na Wazee wa Kanisa Kuwa na mitandio, kanga au vitenge Kuwafunika au kuwafunga watu wanaokuja Ibadani na Mavazi yasiyo ya kimaadili. Asema WATU WOTE WAHESHIMU MAHALI PA IBADA KWA KUVAA VIZURI (KWA HESHIMA) NA KUPENDEZA VIZURI. Asema kama yeye ni Mtumishi wa Mungu aliyepewa kazi ya Kulichunga kanisa la VCCT anaonya wale wasio heshimu kanisa kwa kuvaa nguo zisizo za maadili ya Kitanzania waache tabia hiyo maramoja. Akaongezea kuwa kama mtu amekwazika kwa maneno hayo ya mzazi wa kiroho, "Bye bye Tutaonana Mbinguni" maana yake kama mtu anatoka kanisani kwa sababu ya kutopenda kusikia na kuheshimu maneno ya mchungaji wake basi bye bye!! Ila kama mtu anataka kupona Abaki na ajirekebishe ili TWENDE MBINGUNI PAMOJA.
Kanisa la Victory Christian Center Tabernacle (VCCT)



 VCCT
Kama wafanyakazi serikarini na mashirika mbalimbali wanaheshimu Ofisi zao  kwa kuvaa vizuri kwa heshima na kutoruhusu Mavazi yasiyo ya Kimaadili, Kwanini watu waliokombolewa na damu ya Yesu wasiheshimu mahali pa Kumwabudu Mungu hadi wanakuja wakiwa wamevaa mavazi ambayo si maadili na si ya kuheshimu Mahali pa Ibada?

Tunatengeneza picha gani kwa kutokuwa tofauti na watu wadunia?? Watu wasiookoka wanapotuona hatuko tofauti nao wanajifunza nini??
Mchungaji Huruma Nkone -TAG Victory Christian Center Tabernacle Aonya Uvaaji Mavazi yasiyo ya heshima Kanisani Mchungaji Huruma Nkone -TAG Victory Christian Center Tabernacle Aonya Uvaaji Mavazi yasiyo ya heshima Kanisani Reviewed by Unknown on 9:56 AM Rating: 5

3 comments:

  1. Pastor Nkone, God bless you for speaking the truth. Christian believers should be the light that shines in the darkness (John 1:5). People needs to know the truth, and the truth will set them free (Jhn 8:32). If Pstors will be afraid of preaching the truth(God's word) then they are not true soldiers of Jesus Christ because the word of God says,"No one serving as a soldier gets entangled in civilian affairs, but rather tries to please his commanding officer" We should always be in the position to rememebr that we are to please God our maker and not men.Therefore, if we are christian believers we have to do the things that pleases our creator. Dressing up appropriately is not only in church but anywhere we might be because we are children of the most high God! we should lead others by our good actions.The following few scripture can give us light about how to respect the body of Christ as well as ourselves: 1 Corinthians 6:19-20, "do you not know that your body is a temple of the Holy Spirit within you, whom you have from God? You are not your own, for you were bought with a price. So glorify God in your body". Romans 12:2, "Do not be conformed to this world, but be transformed by the renewal of your mind, that by testing you may discern what is the will of God, what is good and acceptable and perfect". Romans 14:21, "It is good not to eat meat or drink wine or do anything that causes your brother to stumble" and so as not to dress-up in a way that will cause people to lust or sin.May God help us to draw near Him through His knowledge and understanding of His word that we hear from His chosen ones (Pastors) as such as Pastor Nkone. God bless you all.
    Mary Catherine Alfred

    ReplyDelete
  2. Good ,,Watu lazima Wamuheshimu Mungu

    ReplyDelete
  3. 1xbet korean betting guide - Legalbet.co.kr
    This 샌즈카지노 article will tell you more about the sportsbook, the rules, and 메리트 카지노 주소 the 1xbet korean bonuses offered by the bookies, and the latest bonuses.

    ReplyDelete

ads
Powered by Blogger.