KATIBU MKUU WA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD - REV RON SWAI

Katibu Mkuu wa TAG Rev Ron Swai
KATIBU MKUU WA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD (TAG) 

Rev. Ronald Swai ni mchungaji Kiongozi wa Kanisa la TAG Dar es Salaam Calvary Temple (DCT)

Kanisa hili liko maeneo ya Tabata Shule - Ilala, Dar Es Salaam, Tanzania.

Rev Ron Swai alichaguliwa kuwa Katibu mkuu wa  TAG kwa kipindi cha miaka 4 (minne 2009 - 2012) katika Mkutano mkuu wa Mwaka 2011.

Pia alichaguliwa na Wachungaji wa TAG kwa awamu nyingine ya miaka minne (2013-2016) Hii ilitokea ktk Uchaguzi wa Mkutano mkuu wa Wachungaji wote wa mwaka 2012.
Katibu mkuu wa TAG Ron Swai baada ya Kuchaguliwa kuwa katibu Mkuu wa TAG mwaka 2012
   Kwa unyenye kevu mkubwa Katibu alitoa machozi kuupokea huu wajibu wa Kimungu. 

 Timu yote ilirudi kwa awamu nyingine



KATIBU MKUU WA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD - REV RON SWAI KATIBU MKUU WA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD - REV RON SWAI Reviewed by Unknown on 10:14 AM Rating: 5

No comments:

ads
Powered by Blogger.