RATIBA MTIRIRIKO WA MATUKIO WIKI YA JUBILEE YA TAG
MTIRIRIKO
WA MATUKIO WIKI YA JUBILEE
TAREHE
|
TUKIO
|
WAHUSIKA
|
1 July 2014
|
·
Kufika Mbeya
·
Kuzindua Kampeni ya
Huduma kwa Jamii
|
·
Kamati ya Utendaji
·
Askofu Mkuu
·
Mkuu wa Mkoa – Mbeya
|
2-4 July 2014
|
·
Kusambaza Vyandarua vya Mbu Mikoa ya Mbeya, Njombe na
Rukwa
|
·
Kamati ya Utendaji
·
Kamati za Majimbo
husika
·
Kamati ya Huduma kwa
Jamii
|
5 July 2014
|
·
Kuzindua Radio Ushindi
|
·
Kamati Husika
|
7 July 2014
|
·
Kuzindua Jengo la
Kanisa Igale
·
Wajumbe wa Halmashauli
Kuu Kufika
|
·
Wahusika wote
|
8 July 2014
|
·
Kikao Cha Halmashauli
kuu ya TAG Mbeya
|
·
Wajumbe wa Halmashauli
Kuu
|
9 July 2014
|
·
Kikao cha Halmashauli
Kuu
·
Kuzindua Chuo cha
Kupanda Makanisa Jimbo la Kusini Magharibi
|
·
Wahusika
|
10 July 2014
|
·
Baraza la Waangalizi
·
Kufika Wajumbe wa Mkutano
Mkuu/ Baraza Kuu
|
·
Baraza
|
11 July 2014
|
·
Mkutano Mkuu/ Baraza
Kuu
·
Kusimika Wainjilisti
|
·
Wahusika
|
12 July 2014
|
·
Mkutano Mkuu
·
Kusimika Wachungaji
|
·
Wahusika
|
13 July 2014
|
·
KILELE CHA JUBILEE
|
·
WOTE
|
RATIBA MTIRIRIKO WA MATUKIO WIKI YA JUBILEE YA TAG
Reviewed by Unknown
on
12:45 PM
Rating:
No comments: